![First slide [800x350]](https://nps.go.tz/uploads/gallery/large_1658921824-IMG-20220721-WA0061.jpg)
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro (katikati) na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake na Makundi Maaalum, Dkt. Dorothy Gwajima (wa tano kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na wadau wengine, pamoja na Viongozi Waandamizi kutoka Tanzan
![First slide [800x350]](https://nps.go.tz/uploads/gallery/large_1658921675-IMG-20220721-WA0062.jpg)
Wajumbe wa Kikosi kazi cha Ulinzi kwa watoto dhidi ya Biashara ya usafirishaji haramu wa Binadamu wakiwa katika picha ya pamoja huku wakionesha kitabu maalum cha mwongozo utakaotumika katika kutekeleza majukumu yao.
![First slide [800x350]](https://nps.go.tz/uploads/gallery/large_1658921519-IMG-20220721-WA0058.jpg)
Washiriki wa hafla ya Uzinduzi wa Kikosi kazi cha Ulinzi kwa Watoto dhidi ya Biashara ya Usafirishaji Haramu wa Binadamu wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi
![First slide [800x350]](https://nps.go.tz/uploads/gallery/large_1658921341-IMG-20220721-WA0057.jpg)
Mkurugenzi wa Mashtaka Bw. Sylvester Mwakitalu akingumza alipokuwa akitoa salamu na hotuba fupi katika hafla ya Uzinduzi wa Kikosi kazi cha Ulinzi kwa Watoto dhidi ya Biashara ya Usafirishaji Haramu wa Binadamu
![First slide [800x350]](https://nps.go.tz/uploads/gallery/large_1658921181-IMG-20220721-WA0063.jpg)
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake na Makundi Maaalum, Dkt Dorothy Gwajima akizungumza kwenye hafla ya Uzinduzi wa Kikosi kazi cha Ulinzi kwa Watoto dhidi ya Biashara ya Usafirishaji Haramu wa Binadamu
![First slide [800x350]](https://nps.go.tz/uploads/gallery/large_1658921039-IMG-20220721-WA0056.jpg)
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damasi Ndumbaro akizungumza alipokuwa akizindua rasmi Kikosi kazi cha Ulinzi kwa watoto dhidi ya Biashara ya usafirishaji haramu wa Binadamu
Picha ya pamoja ikijumuisha Naibu Katibu Mkuu kutoka Wizara ya Katiba na Sheria Dkt. Khatibu Kazungu (katikati), Mkurugenzi wa Mashtaka Bw. Sylvester Mwakitalu wakiwa na washiriki wa Uzinduzi wa Taarifa ya Ukaguzi wa Vizuizi wanakoshikiliwa Watoto walioki

Naibu Katibu Mkuu kutoka Wizara ya Katiba na Sheria Dkt. Khatibu Kazungu kwa kushirikiana na Mkurugenzi wa Mashtaka Bw. Sylvester Mwakitalu wakikata utepe kuzindua Taarifa ya Ukaguzi wa Vizuizi wanakoshikiliwa Watoto waliokinzana na Sheria
Washiriki wa Uzinduzi wa Taarifa ya Ukaguzi wa Vizuizi wanakoshikiliwa Watoto waliokinzana na Sheria wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi wakati akihutubia kwenye hafla fupi ya uzinduzi huo

Naibu Katibu Mkuu kutoka Wizara ya Katiba na Sheria Dkt. Khatibu Kazungu akitoa neno la kuzindua Taarifa ya Ukaguzi wa Vizuizi wanakoshikiliwa Watoto waliokinzana na Sheria ambao umefanyika Jijini Dodoma
Mkurugenzi wa Mashtaka Bw. Sylvester Mwakitalu akimkaribisha Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Dkt. Khatibu Kazungu kwa lengo la kuzindua Taarifa ya Ukaguzi wa Vizuizi wanakoshikiliwa Watoto waliokinzana na Sheria
Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Bw. Camilius Wambura akitoa salamu fupi za mapokeo ya Uzinduzi wa Taarifa ya Ukaguzi wa Vizuizi wanakoshikiliwa Watoto waliokinzana na Sheria
Kaimu Mkurugenzi Divisheni ya Utenganishaji wa Shughuli za Mashtaka na Upelelezi Bw. Tumaini Kweka akieleza kwa ufupi juu ya Uzinduzi wa Taarifa ya Ukaguzi wa Vizuizi wanakoshikiliwa Watoto waliokinzana na Sheria.
Mkurugenzi Msaidizi Sehemu ya Makosa dhidi ya Mazingira na Maliasili Bi. Rosemary Shio akiwasilisha mada kwenye Mafunzo ya Upelelezi na Uendeshaji wa Kesi za Wanyamapori na misitu kwa Wakuu wa Upelelezi na Waendesha Mashtaka nchini
Picha ya pamoja ikijumuisha Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Bw. Sylvester Mwakitalu (wa pili kushoto), Majaji wa Mahakama ya Rufaa na Mahakama Kuu wakiwa na washiriki wa Mafunzo ya Upelelezi na Uendeshaji wa Kesi za Wanyamapori na misitu kwa Wakuu wa Upelel

Washiriki wa Mafunzo ya Upelelezi na Uendeshaji wa Kesi za Wanyamapori na misitu ambao ni Wakuu wa Upelelezi na Waendesha Mashtaka nchini wakiendelea kufuatilia mada mbalimbali zinazowasilishwa kwenye Mafunzo hayo yanayofanyika mjini Moshi

Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mheshimiwa Dkt. Zainab Mango akiwasilisha mada wakati wa Mafunzo ya Upelelezi na Uendeshaji wa Kesi za Wanyamapori na misitu kwa Wakuu wa Upelelezi na Waendesha Mashtaka nchini