Ofisi ya Mashtaka ya Mkoa wa Katavi
Ofisi ya Mashtaka ya Mkoa wa Katavi
KATAVI.
Mkoa wa Katavi ulianzishwa rasmi tarehe 01 Marchi, 2012 ukiwa na ukubwa wa kilomita za mraba 47,527. Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022, Mkoa una jumla ya wakazi 1,152,958. Shughuli kuu za uzalishaji mali katika Mkoa wa Katavi ni kilimo, ufagaji, madini na uvuvi. Makosa ya jinai yanatokea kwa kiasi kikubwa ni mauaji, ubakaji, ulawiti, uhamiaji haramu, ujangili, dawa za Kulevya, Ulawiti na Wizi.
Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Mkoa wa Katavi inapatikana katikati ya Mji wa Mpanda ambapo wilaya za Mlele na Tanganyika zinatarajiwa kupata ofisi za wilaya.
Anwani -Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Mkoa wa Katavi
S. L P 131
Eneo / Mtaa -Mahakama
Barua pepe:katavi@nps.go.tz
Tovuti: www.nps.go.tz