Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

OFISI YA TAIFA YA MASHTAKA

Ofisi ya Mashtaka ya Mkoa wa Manyara

MANYARA

Mkoa wa Manyara ulianzishwa kwa tangazo la Serikali Na. 367 lililotolewa tarehe 27 Julai, 2002 na baada ya kugawanywa kwa Mkoa wa Arusha.  Kuhusu idadi ya watu, Mkoa wa Manyara una jumla ya wakazi 1,892,502. IMkoa huu una wilaya tano nazo ni Babati, Hanang, Mbulu, Simanjiro na Kiteto. Shughuli kuu za kiuchumi katika Mkoa wa Manyara ni Utalii, Kilimo, Ufagaji, Biashara, Viwanda, Madini na Uvuvi. Makosa makubwa yanayojiri katika Mkoa huo ni Ubakaji, Ujangili Mauaji na Biashara za dawa za kulevya.

Ofisi ya Taifa ya Mashtaka katika Mkoa wa Manyara inapatikana mtaa wa Negamsii halmashauri ya Mji wa Babati Mtaa wa Negamsii. 

 

Anwani -Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Mkoa wa Manyara

S. L P 295

Eneo/Mtaa -Negamsii

Barua pepe:manyara@nps.go.tz

Tovuti: www.nps.go.tz