Kaimu Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Bi. Javelin Rugaihuruza akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Mkutano Maalum wa Baraza la Wafanyakazi uliofanyika tarehe 22 Aprili, 2024 Jijini Dodoma.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Dkt. Khatibu Kazungu akiwa katika picha ya pamoja washiriki wa Hafla ya Ufunguzi wa Jengo jipya la Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Mkoa wa Shinyanga iliyofanyika tarehe 16 Machi, 2024 katika eneo la Uzunguni.
Ufunguzi wa Jengo jipya la Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Mkoani Shinyanga
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Dkt. Khatibu Kazungu akikata utepe kuashiria Ufunguzi wa Jengo jipya la Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Mkoa wa Shinyanga katika hafla hiyo iliyofanyika tarehe 16 Machi, 2024 katika eneo la Uzunguni.
Wanawake kutoka Ofisi ya Taifa ya Mashtaka wakikabidhi vifaa mbalimbali kwa baadhi ya wagonjwa wenye uhitaji kutoka Hospitali ya Rufaa ya Dodoma ikiwa ni ishara mojawapo ya kufanya matendo ya huruma.
Wanawake kutoka Ofisi ya Taifa ya Mashtaka wakikabidhi vifaa mbalimbali kwa Mganga Mkuu kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma Bw. Stanley Mahundo vitakavyowasaidia wagonjwa wenye uhitaji waliopo katika hospitali hiyo ikiwa ni ishara mojawapo ya kufanya matendo ya huruma.
Muuguzi Mfawidhi kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma Bw. Stanley Mahundo akiwa katika picha ya pamoja na Wanawake kutoka Ofisi ya Taifa ya Mashtaka Makao Makuu Jijini Dodoma ambao wameshiriki kufanya Matendo ya huruma katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma tarehe 6 Machi, 2024.
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Miongozo ya Ushughulikiaji wa Kesi za Wanyamapori na Misitu pamoja na Kesi za Uvuvi Haramu kwa Waendesha Mashtaka na Wapelelezi katika hafla ya Uzinduzi huo uliofanyika tarehe 19 Februari, 2024 Jijini Arusha