Habari

DPP MWAKITALU AHITIMISHA ZIARA KATIKA MAGEREZA YA UKONGA,KEKO NA SEGEREA AHAIDI KUPELEKA MAHAKAMANI KESI ZENYE USHAHIDI.

DPP MWAKITALU AHITIMISHA ZIARA KATIKA MAGEREZA YA UKONGA,KEKO NA SEGEREA AHAIDI KUPELEKA MAHAKAMANI KESI ZENYE USHAHIDI.... Soma zaidi

Imewekwa: Jun 13, 2021

DPP MWAKITALU ATEMBELEA NA KUKAGUA HALI YA MAGEREZA UKONGA NA KEKO JIJINI DAR ES SALAAM

DPP MWAKITALU ATEMBELEA NA KUKAGUA HALI YA MAGEREZA UKONGA NA KEKO JIJINI DAR ES SALAAM, AAHIDI KUZITAFUTIA UFUMBUZI CHANGAMOTO... Soma zaidi

Imewekwa: Jun 12, 2021

​WAHUKUMIWA KUNYONGWA HADI KUFA

Washtakiwa watano waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya mauaji namba 84 ya mwaka 2014 ya Alice Mtokoma (56), mkazi wa Kijiji cha Usalule kilichopo Mkoani Njombe wamehukumiwa adhabu ya kunyongwa hadi kufa.... Soma zaidi

Imewekwa: May 04, 2021

RAIA 7 WA IRAN WAFIKISHWA MAHAKAMANI LINDI KWA KUSAFIRISHA HEROIN KILO 504.36

RAIA  saba wa Iran akiwemo nahodha wa boti, Jan Miran (42) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Lindi wakikabiliwa na mashtaka mawili ya kusafirisha heroin zenye uzito wa kilo 504.36 na Methamphetamine zenye uzito wa kilo 355.... Soma zaidi

Imewekwa: May 04, 2021

WAHUKUMIWA MIAKA 20 JELA AU KULIPA KIASI CHA TSH.600,690,000/=

Mahakama ya Wilaya ya Ulanga imewahukumu washtakiwa Hassani Chikoko na Sudi Salum kwenda jela miaka 20 au kulipa faini kiasi cha Tsh. 600,690,000/= kwa kosa la kukutwa na nyara za serikali.... Soma zaidi

Imewekwa: Apr 16, 2021

AHUKUMIWA KWENDA JELA MIAKA 20 AU KULIPA KIASI CHA TSH. 1,063,362,000/=

Mahakama ya Wilaya ya Ulanga Mkoani Morogoro imemuhukumu mshtakiwa Gerald Damiani Machege kifungo cha miaka 20 jela au kulipa faini kiasi cha Tsh.1,063, 362,000/=... Soma zaidi

Imewekwa: Apr 16, 2021