Bw. Biswalo Mganga na Dkt Clement Mashamba wakiongoza Jopo la Mawakili wa serikali
Bw. Biswalo Mganga na Dkt Clement Mashamba wakiongoza Jopo la Mawakili wa serikali
09 Jul, 2020

Picha ya pamoja ya jopo la Mawakili wa Serikali likiongozwa na Mkurugenzi wa Mashtaka Bw. Biswalo Mganga(katikati), waliohudhuria kikao cha Mahakama ya Rufaa ya Tanzania Jijini Dar es salaam baada ya kumaliza kusikilizwa kwa Rufaa ya Serikali Na.175 ya mwaka 2020 dhidi ya Dickson Paul Sanga kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu kufuta kifungu cha 148(5) cha Sheria ya mwenendo wa Mashauri ya Jinai kinachozuia dhamana kwa baadhi ya makosa.